TTCL

EQUITY

Wednesday, December 16, 2015

Breaking news Meli ya Royal yanusurika kuteketea kwa Moto

Meli ya royal ilikuwa ikitokea unguja kuelekea Pemba hivi sasa inaungua, kwa Bahati Serengeti ilikuwa inatokea Pemba kwenda unguja nimeikuta njiani hivyo shughuli za uzimaji moto na uokozi wa abiria na Mali zao inafanyika kama invyoonekana kwenye picha

Meli ya Royal Kabla ya ajali

No comments:

Post a Comment