Mgombea
Ubunge ccm jimbo la Ludewa Bw Deo Ngalawa akipita juu ya kanga
zilizotandikwa na wapiga kura wake wakati wa mikutano yake ya kampeni za
lalasalamaMbunge wa viti maalum mkoa wa Njombe Dr Suzana Kolimba na Katibu mwenezi wa Ccm mkoa wa Njombe Bw Mgaya wakijumuika na Ngalawa na wasanii kucheza Ngoma
Wananchi wakimshangilia Mgombea Ubunge wa ccm
Deo Ngalawa akiwa katika mkutano wa kampeni za Ubunge Ludewa




No comments:
Post a Comment