Matukio katika picha za Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokutana na kuzungumza na Viongozi wa Kampuni ya Japan ya KOYO na kampuni ya Kitanzania ya SSF Limited ambazo kwa pamoja zimekusudia  kushirikiana ili kuwekeza kwenye miundombinu ya umeme wa gesi asilia na jua nchini. Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam May 9, 2016.
Kassim Majaliwa, KOYO Japan
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Viongozi wa Kampuni ya Japan ya KOYO na kampuni ya Kitanzania ya SSF Limited ambazo kwa pamoja zimekusudia  kushirikiana ili kuwekeza kwenye miundombinu ya umeme wa gesi asilia na jua nchini. Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam May 9, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Kassim Majaliwa na Norio Shoji
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata ufafanuzi wa mikakati ya uwekezaji kwenye miundombinu ya umeme wa gesi asilia na jua kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya KOYO ya Japan, Bw.  Norio Shoji wakati alipokutana na ujumbe wa kampuni hiyo ofisini kwake jijini Dar es salaam May 9, 2016.

Norio Shoji
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya  KOYO ya Japan, Bw. Norio Shoji baada ya kukutana na Mtendaji huyo na ujumbe wake ofisini kwake jijini Dar es salaam May 9, 2016. Kampuni hiyo ikishirikiana na Kampuni ya Kitanzania ya SSF Limited inakusudia kuwekeza  kwenye miundombinu ya umeme wa gesi asilia na jua nchini.

IMGS4806
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kampuni ya Japan ya KOYO na kampuni ya Kitanzania ya SSF Limited ambazo kwa pamoja  zimekusudia kushirikiana ili kuwekeza kwenye miundombinu ya umeme wa gesi asilia na jua nchini. Waziri Mkuu alifanya mazungumzo na viongozi hao ofisini kwake  jijini Dar es salaam May 9, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).