TTCL

EQUITY

Sunday, August 4, 2013

MATUKIO YOTE YANAYOENDELEA MAONYESHO YA NANE NANE KANDA YA KASKAZINI ARUSHA.


            Banda la MAMBO JAMBO REDIO WAFANYAKAZI WAKIWA BUZZ,

WATANGAZAJI WA MJ REDIO. MWANAIDI SULEIMAN (may c) alieangalia mbele wa kipindi cha mtaa wa pili. Akiwa na mtangazaji mwenzake.ROTILINDE ACHIMPOTA wa kipindi cha matukio anaezungumza na simu.



Producer & Presenter DJ HAAZU WA MJ REDIO ALIEVAA HEADPHONE SHINGONI, NA PRESENTER MWINGINE WA MJ ALIEVAA KIZIBAO GILBART BONIFACE Wakiiwakilisha vizuri mambo jambo redio katika viwanja vya maonyesho ya kilimo NANENANE kanda ya kaskazini. KULIA NI JACKLINE JERICHO Markerting excecutive mambo jambo na kushoto ni JESCA C. KAAYA Markerting excecutive mambo Jambo Redio.
 
 Banda la kurushia matangangazo la Redio 5 kwenye maonyesho ya kilimo (nanenane kanda ya kaskazini)

DAVID RWEGANYIRA BONGE LA MUTU ni mtangazaji na mshauri .Aliekaa kwenye mashine ni DEOGRATIAS NAFTAL Producer na IT manager, mwingine ni SARAH KEIYA ( white lady) manager masoko na mahusiano. Godfrey Thomas mtangazaji ( mzee wa hakuna kulala)
 
Watoto wakiburudishwa na Redio 5 kwa muziki na Maswali ya hapa na pale.

SUNRISE REDIO WAKIWA HEWANI WAKIONGEA NA WASIKILIZAJI WAO KATIKA MAONYESHO YA KILIMO NANENANE KANDA YA KASKAZINI VIWANJA VYA TASO ARUSHA. 

 Baadhi ya watangazaji na viongozi wa sunrise Redio wakishauriana jambo kwenye Banda Lao.


Mtangazaji EZRA AGOLA THE GRADIETAL Akizungumza na wananchi waliotembelea maonyesho hayo na kutuma salamu zao kwa ndugu jamaa na marafiki.


  Wananchi wakimzonga maandishi wa sunrise wakitaka kutuma salamu.


              RUNGU DAWA YA MBU WAKIWABURUDISHA WATOTO.


 ORANGE GAS WAKIHAKIKISHA UNAPATA KILICHO BORA KWENYE MASWALA YA MAANDALIZI YA CHAKULA GAS ISIYO NA MADHARA KWA AFYA YA MTUMIAJI.

 
WAFANYAKAZI NMB WAKIWA NA BAADHI YA WADAU WAO KATIKA MAONYESHO YA KILIMO KANDA YA KASKAZINI WAKIBADILISHANA MAWAZO.

                     WADAU WA NMB WAKIONYESHA PRODUCT MBALIMBALI.



 MDAU WA NMB
 

KAIMU MKURUGENZI WA INTELIGENCE SECURICO LTD NDIO WALIOBEBA DHAMA YA KULINDA NA KUHAKIKISHA WAZAMIAJI WASIO NA KAZI KUZAMIA OVYO ENEO LA MAONYESHO

MJASIRIAMALI AKITANGAZA BIASHARA YA BAADHI YA MACHINE ZINAZORAISISHA HUDUMA ZA KILIMO.

No comments:

Post a Comment