TTCL

EQUITY

Sunday, August 4, 2013

MATUKIO MBALIMBALI YA PICHA KUTOKA NANE NANE NZUGUNI DODOMA.


Mbuzi hawa huzaa mapacha kati ya 3-4 kila uzao.

Baadhi ya wakazi wa mji wa Dodoma na vitongoji vyake wakiwa katika banda la Maonesho la Wizara ya Mali asili na Utalii kujionea Kobe Mkubwa zaidi. Kobe huyo yupo Viwanja nya Nzuguni Maonesho ya Kilimo Nane nane kitaifa yanayofanyika mjini Dodoma.
 
 Twiga Bancorp Limited nao wapo na Wajasiriamali banda hili


Wadau Innocent Mungu kutoka TCRA, akiwa na Mdau, Titus  Kaguo wa EWURA.
 

Mhandisi Mwandamizi wa Upimaji Magari kutoka Wakala wa Barabara (Tanroad), Mhandisi. Joseph Rwihura akitoa maelekezo kwa wanafunzi wa Shule ya Sekandari Nzuguguni mjini Dodoma jana wakati wa maonesho ya nane nane inyoendelea mjini Dodoma katika viwanja vya Nzuguni, Dodoma

No comments:

Post a Comment