Mbuzi hawa huzaa mapacha kati ya 3-4 kila uzao.
Baadhi ya wakazi wa mji
wa Dodoma na vitongoji vyake wakiwa katika banda la Maonesho la Wizara ya Mali
asili na Utalii kujionea Kobe Mkubwa zaidi. Kobe huyo yupo Viwanja nya Nzuguni
Maonesho ya Kilimo Nane nane kitaifa yanayofanyika mjini Dodoma.
Wadau Innocent Mungu kutoka TCRA, akiwa na Mdau, Titus Kaguo wa EWURA.
Mhandisi Mwandamizi wa Upimaji Magari kutoka Wakala wa Barabara (Tanroad), Mhandisi. Joseph Rwihura akitoa maelekezo kwa wanafunzi wa Shule ya Sekandari Nzuguguni mjini Dodoma jana wakati wa maonesho ya nane nane inyoendelea mjini Dodoma katika viwanja vya Nzuguni, Dodoma
No comments:
Post a Comment