TTCL

EQUITY

Wednesday, December 16, 2015

Wanaharakati wa haki za binadamu Angola wapinga show ya Nicki Minaj kufanyika nchini humo.

minaj
Wanaharakati wa haki za binadamu nchini Angola wapinga kufanyika kwa show ya Nicki Minaj nchini Humo.
Minaj anatarajiwa kufanya show jumamosi ya wiki hii December 9 2015, Show hii imeandaliwa kama zawadi kwa raia wa Angola na kampuni ya simu ya Unitel inayomilikiwa na rais wa Angola ‘Jose Eduardo Dos Santos’.
Rais wa taasisi hii ya Human Rights Foundation Thor Halvorssen amemuandikia Nicki Minaj barua kumuomba asitishw kuja kwenye show hio sababau pesa anazolipwa ni jasho la watu wa Angola na zimetokana na rushwa kubwa ya serikali hio.
Thor aliandika ” The Paymen you are receiving from your Angolan Sponsors is the result of government corruption and human right violations ”
Rais Jose Eduardo Dos Santos yupo madarakani tangu mwaka 1979.

No comments:

Post a Comment