Kwa mujibu wa uchunguzi wa somo moja la Chuo cha Oxford University,
ambao hivi karibuni umekuwa ukizungumziwa kwenye habari, kwamba
"wanawake wenye makalio makubwa huwa wana akili."Mwanamke mmoja aitwaye Annie Bryan anajichukulia yeye binafsi kama mfano
wa juu ya hilo.
Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 19 makalio yake yana
ukubwa wa wastani wa gredi 3.8 na anaamini kwamba ukubwa wa makalio
yake ni msingi mkubwa kwake.
Japokuwa, mwanamke huyo bado moja kwa moja haamini somo hilo, kwamba
makalio yake yanahusika na uwezo wake kiakili zaidi ya kuona umuhimu
wake kwenye maisha yake.
Somo hilo linajaribu kuunganisha uwezo wa mwanamke kufikiri kutokana na
kitu kilichoitwa omega-3 fats ambacho husaidia kuunganisha ukuwaji wa
akili ya mtu.
Somo hilo pia limesema kuwa makalio makubwa yananasaidia kupunhguza uwezekano wa kupata matatizo ya moyo na kisukari.
via swahili one
No comments:
Post a Comment