TTCL

EQUITY

Friday, November 22, 2013

JE UVAAJI WA MAVAZI YA MITEGO SEHEMU ZA KAZI NI SAHIHI..!!??

http://theclicktz.blogspot.com/
Angalia jamaa huyu alivyokuwa na wakati mgumu.
 
Uvaaji wa mavazi yasio na heshima sehemu za kazi una athari nyingi, Kwanza hushusha thamani yako mwenyewe na kutharaulika na wafanya kazi wenzako, hupoteza umakini wa kazi kwa jinsia nyingine pia huleta picha mbaya ya kampuni au mahala hapo pa kazi.

No comments:

Post a Comment