Zoezi
la kuhesabu kura limeanza nchini Ufilipino ambapo matokeo ya awali
yanaonesha kuwa meya wa muda mrefu wa mji wa Kusini wa Davalo,Rodrigo Duterte anaongoza.
Zoezi la kuhesabu kura laanza nchini Ufilipino
Rodrigo amepata asilimia 63 ya kura zilizohesabiwa ambapo
kati ya wagombea watano anaopambana nao seneta Grace Poe anamfuataia kwa
kupata asilimia 22 ya kura.
Katika kampeini zake Rodrigo alitoa ahadi kwa wananchi kwamba atakuwa suluhisho la haraka kwa matatizo ya uhalifu na umaskini.
Wapinzani wa Duterte wanonesha wasiwasi wa nchi kutumbukia kwenye
kipindi kingine cha machafuko iwapo atapewa ridhaa ya kuongoza.
No comments:
Post a Comment