Moja kati ya taarifa kubwa kwenye magazeti ya Tanzania leo ni hii ya Mwananchi ikiwa ni ripoti kutoka Moshi kwamba Mahakama ya mji huo imetoa amri ya kufukuliwa kwa kaburi baada ya mgogoro kutokea.
Ni mgogoro kati ya mke wa Marehemu na Mwanamke mwingine wa nje ambae
anatajwa kuwa mpenzi wa Marehemu ambapo kila mmoja anadai kuwa na haki
ya kufanya mazishi.
Kwa mujibu wa Mahakama, maiti hiyo itahifadhiwa kwenye chumba cha
maiti hadi Mahakama itakaposikiliza kesi ya msingi na baadae kutitolea
maamuzi.
No comments:
Post a Comment