TTCL

EQUITY

Wednesday, November 5, 2014

Baada ya kuonekana amevaa kwenye ELLE, Rihanna aonekana mtupu kwenye cover la ESQUIRE U.K


Siku moja baada ya kuonekana amevaa nguo kwa nidhamu kwenye kava la ELLE, Rihanna ameonekana mtupu kwenye issue ya December ya ESQUIRE U.K. Kwenye picha ambazo zimepigwa na Ellen Von Unwerth, Barbados ameonekana ana furaha akiwa bafuni.

RiRi ameonekana kama kawaida yake kuwa mtupu na akiwa bafuni akichezea maji, akiweka ndani ya chupi kuelekea ukeni huku akiwa hajavaa kitu juu bali kujizuia tu kwakutumia mikono yake.


Mbali na hapo Rihanna ameshare picha zake hizo kwenye mtandao wa Instagram ambapo mieezi sita tu iliyopita picha kama hizo zilimsababishia accout yake ya Istagram kusimamishwa hadi ilipo achiliwa juma lililopita.

Siku ya juma tatu Rihanna alikuwa anasherekea pamoja siku ya kuzaliwa ya babu yake ambapo amefika miaka 86.

No comments:

Post a Comment