Msanii Mzungu Kichaa ameamua kufanya mkakati wa
kutambulisha bendi na timu yake nzima akizunguka na gari katika kona za
mitaa ya Dar es Salaam, mchakato wa tofauti ambao pia umeenda sambamba
na kupiga picha za kazi hiyo mpya.
msanii wa miondoko ya bongofleva Mzungu Kichaa
Mzungu
Kichaa ambaye amekuja na wazo hilo tofauti kutokana na wigo mkubwa wa
ujuzi alio nao kitaifa na kimataifa, baada ya kukamilisha mchakato huo
anatarajia kushiriki na mashabiki kwa kutoa kazi hiyo kama video,
ikisimama kwa jina Relax Your Mind kama anavyoeleza mwenyewe hapa.
No comments:
Post a Comment