Timoth Conrad Kachumia ambae ni mtayarishaji wa filamu na mkurugenzi wa kampuni Timamu Afriacan Media, amewasili leo mchana akitokea nchini Marekani ambapo hivi karibuni alishinda tuzo za kimataifa za Future Africa Awards.
Muigizaji Wastara Juma nimiongoni mwa watu aliofika uwaja wa ndege kimataifa wa JK nyerere kumpokea.
Baada ya mapokezi hayo walielekea kwenye ofisi za basata mabako Timoth alipata nafasi ya kuzungumza na wandishi wa habari.
Jionee baadhi ya picha za mapokezi hayo hapo juu.
Hongera sana Timoth Conrady
No comments:
Post a Comment