Miss Tanzania namba tatu (2003/04) ambae kwasasa ni mwajiriwa na vile vile ni muigizaji, Nagris Mohamed amesema siri ya yeye kuzidi kuonekana mrembo na mwenye mvuto tofauti na wadada wengi wenye watoto (kama ambavyo yeye ana mtoto mmoja) na umri sawa na wake.
Nagris amesema mazoezi ndio kitu pekee Kinachomfanya aonekane bomba zaidi, akiongea kwa utani, Nagris alisema;
"Gym mpaka lundenga akiniona anisahau aniambie dada samahani shiriki miss 2015 tutaenda kukuombea kwa wazazi wako"
Hapo juu ni baadi ya picha zake akiwa GYM anafanya mazoezi.
Haya shime shime jamani mazoezi ni kitu muhimu kwa afya zetu.
No comments:
Post a Comment