Saturday, October 18, 2014
Pichaz 17 kutoka kwenye uzinduzi wa video ya Shilole ‘Namchukua’
Usiku wa Oct 17 Zuwena Mohamed aka Shilole amezindua video ya single yake mpya ‘Namchukua’,video ambayo imeongozwa na director Kevin Bosco Junior nchini Kenya.Uzinduzi huo ulifanyika Coco Lounge maeneo ya Coco Beach,Dar es Salaam.
Wadau wa muziki na wasanii mbalimbali walijitokeza kushuhudia video hiyo mpya ‘Namchukua’, akiwemo Chegge,Mh.Temba,Madee,Quick Rocka,Dogo Asley,Janjaro,Julio,Queen Darling,Wakazi,Diamond Platnumz,Nay wa Mitego,Ezden The Rocker na wengineo.
Hizi ni picha za uzinduzi huo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment