Mwanamke mmoja (pichani) aliyedaiwa kuwa ni mke wa mtu ambaye jina lake
halikuweza kupatikana mara moja, hivi karibuni alikumbwa na aibu ya
mwaka baada ya kutuhumiwa kwa wizi wa simu ya mkononi kwenye harusini
Timbwili hilo lililoshuhudiwa na mpiga chabo wetu lilimkuta mwanamama
huyo ndani ya Ukumbi wa Deluxe Sinza. Baada ya kusingiziwa mmama huyu
aliamua chojoa nguo zote mbele ya walizi ili ili kuthibitisha kuwa
hakuichukua.
No comments:
Post a Comment