TTCL

EQUITY

Tuesday, May 10, 2016

Tanzania yaongoza Afrika Mashariki kudhibiti ugojwa wa malaria

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete amekutana na kuzungumza na waandishi wa Habari kutoka Taasisi ya “Malaria No More” ya nchini Marekani jana jijjini Dar es salaam, waandishi hao wapo nchini kwa ziara ya siku tano kujionea namna Tanzania inavyopambana na ugonjwa wa malaria.

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akiongea na waandishi wa Habari (hawapo pichani) kutoka Taasisi ya “Malaria No More” ya nchini Marekani jana jijjini Dar es salaam, waandishi hao wapo nchini kwa ziara ya siku tano kujionea namna Tanzania inavyopambana na ugonjwa wa malaria.

03
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akiongea na waandishi wa Habari kutoka Taasisi ya “Malaria No More” ya nchini Marekani leo jijjini Dar es salaam, waandishi hao wapo nchini kwa ziara ya siku tano kujionea namna Tanzania inavyopambana kutokomeza ugonjwa wa malaria.

02
Jakaya Kikwete
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waandishi wa Habari kutoka Taasisi ya “Malaria No More” ya nchini Marekani jana jijjini Dar es salaam, waandishi hao wapo nchini kwa ziara ya siku tano kujionea namna Tanzania inavyopambana kutokomeza ugonjwa wa malaria.

No comments:

Post a Comment