TTCL

EQUITY

Thursday, March 17, 2016

Mkutano wa Mpango Kazi wa Taifa wa Dawa, Vifaa Tiba na Vitendea Kazi wazinduliwa (Picha)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Mpoki Ulisubisya amekuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa Mpango Kazi wa Taifa wa Dawa, Vifaa na Vitendea Kazi kwa miaka mitano (2015 – 2020) leo jijini Dar es Salaam.
Zaidi unaweza kutizama picha wakati wa uzinduzi huo.

Pic 1 (2)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akizungumza  wakati wa uzinduzi wa Mpango kazi wa Taifa wa Dawa vifaa Tiba na vitendanishi kwa miaka mitano (2015-2020) leo jijini Dar es Salaam.

Pic 2 (1)Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi mkutano wa  Mpango kazi wa Taifa wa Dawa vifaa Tiba na Vitendea Kazi kwa miaka mitano (2015-2020) leo jijini Dar es Salaam,Kushoto ni Mfamasia Mkuu wa Serikali Henry Irundo na kulia ni Mganga Mkuu wa Serikali Muhamad Kambi.

Pic 3 (1)
Pic 4Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya (katikati) akionyesha taarifa ya  Mpango kazi wa Taifa wa Dawa vifaa Tiba na vitendanishi kwa miaka mitano (2015-2020) baada ya uzinduzi   leo jijini Dar es Salaam,Kushoto ni Mfamasia Mkuu wa Serikali Henry Irundo na kulia ni Mganga Mkuu wa Serikali Muhamad Kambi.

Pic 5Wajumbe waliohudhuria uzinduzi  wa  Mpango kazi wa Taifa wa Dawa vifaa Tiba na vitendanishi kwa miaka mitano (2015-2020) leo jijini Dar es Salaam.

Pic 6Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa mkutano wa taarifa ya  Mpango kazi wa Taifa wa Dawa vifaa Tiba na vitendanishi kwa miaka mitano (2015-2020) leo jijini Dar es Salaam.(Picha na Lorietha Laurence – Maelezo)

No comments:

Post a Comment