Walinzi wa hosptali ya Mirembe wamefanya mgomo na hivyo kufanya baadhi ya vichaa kutoroka. Hata hivyo baadhi walikamatwa na wengine kukutwa wakivunja amri ya sita nyuma ya hospital!!
Alipoulizwa Mkurugenzi wa kampuni ya ulinzi inayolinda ya Mass amesema hawajalipwa na wao hawawezi kuwalipa walinzi!!Mkurugenzi wa hospitali ya Mirembe alipoulizwa alidai anasikitika kilichotokea na wamepanga kuvunja mkataba na hii kampuni na kujiunga na kampuni ya Embassy!
No comments:
Post a Comment