TTCL

EQUITY

Wednesday, March 4, 2015

Namna Kapten John Komba alivyozikwa nyumbani kwao Lituhi #RIP KOMBA.

Aliyekua Mbunge wa Mbinga Maharibi Kapten John Komba leo amepumzishwa kwenye makazi yake ya milele na kuhudhuriwa na idadi kubwa ya Watanzania  kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania ambao walikusanyika kwa ajili ya kumsindikiza kwenye safari yake ya mwisho.

407mzshIbada ya sala imeongozwa na Askofu wa Jimbo kuu la Mbinga Askofu John Ndimbo na kuhudhiriwa na Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Jakaya Kikwete,Spika wa bunge la Tanzania Anna Makinda,wabunge mbalimbali,viongozi wa dini pamoja na wananchi.
452mzshKapteni John Komba amezikwa leo March 03 kwenye makaburi ya Mission yaliyopo Kijijini kwao Lituhi ambapo mazishi hayo yalitanguliwa na ibada iliyoanza saa 5 asubuhi na mazishi yalikamilika saa 10 jioni,Rest in peace Kapten John Komba.

419mzsh
Spika wa Bunge la Tanzania Bi. Anna Makinda
384mzsh
Kutoka kambi pinzani,Mbunge wa Lindi Salum Baruani.
392mzsh
Katibu wa CCM Abdulrahman Kinana
475mzsh
464mzsh
Mke wa marehemu John Komba bi.Salome Komba.

444mzsh
456mzsh
487mzsh
498mzsh
501mzsh
509mzsh
539mzsh
542mzsh
580mzsh
598mzsh
699mzsh
720mzsh
728mzsh
748mzsh
788mzsh

No comments:

Post a Comment