TTCL

EQUITY

Wednesday, March 4, 2015

Bobbi Kristina akiwa kitandani anapigania maisha yake,ndugu za baba yake wameamua kufanya hili

bobby
Familia ya Bobby Brown wameanza kurekodi kipindi kuhusu maisha yao ya kila siku huku mtoto wake akiwa akitandani anapigania maisha yake.
Tmz imeripoti kuwa dada wawili wa Bobby Brown ,kaka na watoto wao  wameanza kurekodi maisha yao ya kila siku na sehemu ya kipindi hicho kitahusu mtoto wa Bobby ‘Bobbi Kristina’ kupigania maisha yake.
Mwanasheria wa Bobby wamesema mteja wake hataonekana kwenye kipindi hicho.
Dada wa Bobby Brown ‘Leolah’ ndiye aliyelalamika kuwa Ray J alichangia kifo cha Whitney Houston kwa kumsogeza zaidi kwenye matumizi ya dawa za kulevya.

No comments:

Post a Comment