TTCL

EQUITY

Wednesday, March 4, 2015

NA HILI NDIO JIBU LA FID Q KWA MASHABIKI WALIOHISI KAPAKA LIP BUM KWENYE VIDEO YAKE MPYA

Fid q 3Kwanza ni video iliyovunja rekodi kwenye line ya Fid Q kwa kupata views zaidi ya elfu 20 ndani ya saa 24 huku zaidi ya watu 500 wakilike na 20 wakidislike kwenye mtandao wa YouTube.
Kwenye headlines za hii video mpya pia kumekua na maswali ya mashabiki kwa Fid Q ambapo baadhi yao walitaka kujua kama ni kweli Fid kapaka lip bum mdomoni wakati wa kushoot video hiyo.

Fid Q 1 
Unaweza kutazama video yenyewe kwa kubonyeza play hapa chini na kisha uniachie comment yako mtu wangu ili Fid akipita baadae ayasome kutoka kwa watu wake.

No comments:

Post a Comment