TTCL

EQUITY

Tuesday, March 3, 2015

MEYA JERRY SILAA WA ILALA AWATOA MENO MASTAA MASANJA, MPOKI NA WENGINE..

Meya wa Manispaa ya Ilala Mhe. Jerry Silaa amewaacha hoi wachekeshaji maarufu Tanzania walipokutana jana baada ya kuwaambia naye ana kipaji kama wao ila kwa sasa anafanya kazi ya wananchi wa kata ya  Gongolamboto na Manispaa ya ilala... katika kuwatania alisema..''

Siasa ikikataa nitabanana na kina Mc pilipili, Masanja, Mpoki, Joti na wengine wengi  kwenye comedy.....
Kama hawa wenyewe hawana mbavu basi kipaji kipo....
Waiteni waje wajione wanavyocheka....

No comments:

Post a Comment