TTCL

EQUITY

Tuesday, September 23, 2014

VYAKULA KUMI(1O) VIONGEZAVYO UWEZO WA AKILI

Wakati mwili wa binadamu ni kama jumba ,akili huwa kama funguo ikusababishayo kufikia kila chumba cha maamuzi.Maamuzi hufikiwa baada ya kupitia milango ya fahamu.Na hivyo ili utende vyema ni lazima kufikiri vyema.Pia kufikiri vyema ni lazima  ujue chakula gani kitakacho kusaidia kuongeza uwezo wa akili.Na hivi ni vyakula kumi(10) viongezavyo uwezo wa akili.
 
1.KAHAWA

2.MAYAI


3.SAMAKI

4.KABICHI
 
5.NDIZI

6.CHOKOLETI

7. MBEGU JAMII YA KOROSHO


8.''APPLE''

9."BLACKBERRY"



10.SPINACHI 

No comments:

Post a Comment