Ligi
Kuu ya nchini Uingereza (EPL) leo usiku inataraji kuendelea kwa michezo
mitano, mchezo unaotazamaziwa kuvuta mashabiki wengi wa soka ni Chelsea
itakayokuwa ugenini kwa Norwich City baada ya kufanikiwa kupanda
ushindi wikiendi iliyopita dhidi ya Southampton.
Ratiba kamili ni;
Bournemouth – Southampton
Aston Villa – Everton
Leicester City – West Bromwich
Norwich City – Chelsea
Sunderland – Crystal Palace
Michezo yote inataraji kuanza 22:45 kwa saa za Afrika Mashariki.
No comments:
Post a Comment