| Waziri
wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa,
Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) amekula kiapo cha utii mbele ya Wabunge wa
Bunge la Afrika Mashariki, akiwa kama Waziri anayehusika na Shughuli za
Ushirikiano wa Afrika Masahiriki kutoka Tanzania. Tukio hilo la kuapishwa kwa
Waziri Mahiga limeshuhudiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Job Ndungai, Hafla hiyo imefanyika jana jijini Dar es
Salaam.
|
No comments:
Post a Comment