Kila
mwaka Siku ya mwisho ya Mwezi wa Pili huadhimishwa Siku ya ‘Rare
Disease’ duniani kote. Kwa mwaka huu maadhimisho hayo yanafanyika leo
29 Februari 2016.
Kwa
Tanzania, Sharifa Mbarak ambaye ni mama mwenye watoto wawili ambao
waliathirika na magonjwa hayo yasiyotambulika anatarajiwa kuongea na
Waandishi wa habari na wadau mbalimbali wakiwamo na madaktari wa watoto
akiwemo Dr. Mariam wa Agakhan na Professor Kareem wa Muhimbili,Monica
Joseph pamoja mdau kutoka Philips Medical Systems.
Tukio
hilo linatarajiwa kufanyika leo kuanzia saa nne asubuhi, katika hotel ya
Serena Dar es Salaam,hivyo unakaribishwa katika kampeni ya kuhamasisha
magonjwa yasiyotambulika.
Tunaomba ushiriki wako katika siku hii muhimu kwa Watoto wa Sharifa na watoto wote duniani wanaoteseka na magonjwa haya.
No comments:
Post a Comment