TTCL

EQUITY

Sunday, January 10, 2016

MCHEZAJI BORA WA NDANI WA AFRIKA 2015 MBWANA SAMATA AKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WA SOKA

Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika wa Wachezaji wa Ndani 2015, Mbwana Samata akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam akitokea Abuja, Nigeria katika hafla ya utoaji tuzo kwa mwanamichezo bora.

 Mchezaji Boara wa Afrika, Mbwana Samata akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam akitokea Abuja, Nigeria. Kulia ni mzee Ali Samataakimlaki mtoto wake. 
 
 Mbwana akiwapungia mkono mashabiki waliofika uwanja wa Ndege kumpokea.
 
 Mbwana Samata akiangalia tuzo yake.
 
 Mashabiki wa soka wakimpokea Mbwana Samata.
 
 Mbwana akifurahia tuzo yake.
 
 Mbwana akiwa amezongwa na mashabiki wa soka waliokuja kumpokea.
 
 Samata akiwa amepozi kwa picha.
 
 Waandishi wa habari wakifanya mahojiano.
 
 Maashabiki wa Mbwana Samata wakijaribu kuzuia gari alilopanda.
 
 Mbwana Samata akiwa na tuzo yake.
 Mbwana Samata akifurahia tuzo yake.
 
 Wafanyakazi wa New Habari wakiwa katika picha ya pamoja na mchezaji Bora wa Afrika,  Mbwana Samata.
 
 Thomas Ulimwengu akiwa ameshika tuzo aliyopata Mwana soka mwenzake, Mbwana Samata.
 
 Wadau wa New Habari wakiwa katika picha ya pamoja. Kulia ni Naibu Mkurugenzi Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Yasoda.
 
Mbwana Samata akiwa na mashabiki wake katika picha ya pamoja
 
Thomas ulimwengu.
 
 Mhariri wa Michezo wa gazeti la Tanzania Daima, Tullo Chambo (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mchezji Bora wa Afrika, Mbwana Samata na mwandishi, Salum Mkandemba.
 
 Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Soka Tanzania TFF, Salum Madadi akipongeza Mbwana Samata kwa tuzo aliyotwaa.
 
 Thomas Ulimwengu akimpongeza Mbwana Samata.
 

 Naibu Mkurugenzi Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Yasoda akizungumza katika hoteli ya Serena mara baada ya Mbwana Samata kuwasili.
 
 Mchezaji Bora wa Afrika, Mbwana Samata akizungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Serena mara baada ya kuwasili akitokea Abuja Nigeria katika hafla ya utoaji wa tuzo kwa mchezji bora wa Afrika.
 
 Mshambulia wa TP Mazembe, Thomas Ulimwengu akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na tuzo aliyopata Samata.
 
 Mashabiki waliokuja kumpokea wakicheza kwa furaha.
 
 Ngoma za kila aina zilikuwepo Uwanja wa Ndege wakati wa mapokezi ya Samata.
 
 Mzee Ali Samata akifurahia tuzo aliyopata mtoto wake.
 
 Umati wa watu waliojitokeza katika mapokezi ya Samata.
 
 Wadau wa michezo wakimpongeza mzee Ali Samata.
 
 Familia ya mzee Ali Samata.
 
 Wadau wa soka

 Vikundi mbalimbali vikitumbuiza.
 
 Mzee Ali Samata akiwa na mkewe wakati wa mapokezi ya mtoto wao.
 
Mikakati ya mapokezi..
 
 Mzee Ali Samata akisalimia na Naibu Mkurugenzi Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Yasoda.
 
Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mapokezi ya Mchezji Bora wa Afrika, Mbwana Samata.

No comments:

Post a Comment