Jamani hii ilikuwa jana sasambua mtaani mtoto katoka 40 basi watu
shurti kumwaga manyanga..hapana chezea watoto wa mabibo umeona??? umeona
SHOGA hilo linavyokata kiuno halafu wewe mwanamke mzima unalala kama
gogo inahusu?????? chambua picha vizuri uone mashosti walivyokuwa
wanaserebuka wapi mama Lulu kati ya kinondoni upo???? Jumamosi kwako
mama na sitaki kupiga picha nataka nipigwe miye nisasambue kwa raha
zangu..nizionyeshe sha....zinazompa wa ubavu wangu raha umesikia
eehhh..mwanamke kiuno babu makalio majaliwa umenipata?????
No comments:
Post a Comment