TTCL

EQUITY

Tuesday, December 1, 2015

Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda alivyokabidhi ofisi kwa Waziri mkuu mpya Majaliwa Kassim..

Tayari uongozi mpya chini ya Rais Dk. John Magufuli umeanza kazi..ikiwa ni siku chache baada ya uteuzi wa Waziri mkuu Majaliwa Kassim kupewa madaraka, yapo mambo mengi ambayo tayari ameanza kuyatekeleza.
Jana jioni kwenye ofisi ya waziri mkuu kulikuwa na hafla fupi ya makabidhiano kati ya waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda ambaye alimtembelea Waziri  mkuu mpya ikiwa ni pamoja na kumkabidhi ofisi.
Hapa ninazo baadhi ya picha wakati wa makabidhiano hayo..

maja1

maja2

maja3

maja4

maja5

maja6

maja7

maja8

No comments:

Post a Comment