Kamanda
wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova akionesha
baadhi ya vipande vya bunduki zilizokamatwa aina ya ‘RIFLE’ katika
oparesheniiliyofanyika jana Temeke Sudan, Dar.
Kamanda Kova akionesha baadhi ya vipande vya meno ya Tembo kwa wanahabari.
Kova akivishikilia vipinde hivyo.
Kova akivitoa kwenye magunia yaliyokuwa yamehifadhi vipande hivyo vya meno ya Tembo.
Wanahabari wakichukua tukio hilo.
Kamishna wa polisi, Suleiman Kova (kushoto) akiongea na wanahabari.
Baadhi ya vipande hivyo vikiwa mezani mbele ya wanahabari.
No comments:
Post a Comment