Kaloleni C:
Eneo lilipendekezwa kujengwa jengo refu (Arusha City Tower)
litakalokuwa na Mgahawa unaozunguka kwa ajili ya kuhamasisha Utalii wa
ndani. Pia, huduma za kiajamii mfano; kumbi za mikutano, ofisi za
kukodisha, mgahawa, uegeshaji wa magari na huduma za kifedha (ATMs).
No comments:
Post a Comment