Kama tulivyoripoti mapema kuwa Ay yupo Marekani ambapo amekwenda kufanya
video na Sean Kingston, Pia kwenye interview niliyofanya nae ameniambia
anampango wakufanya wimbo mwingine na msanii mkubwa kutoka huko.
Hii ni twit ya mama yake Sean Kingston 'Janice Turner' kuhusu ujio wa wimbo wa Ay na Sean Kingston.
No comments:
Post a Comment