TTCL

EQUITY

Thursday, December 31, 2015

Rais mstaafu Kikwete, Waziri Lwenge wakagua mitambo ya maji Wami, Chalinze


Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete (katikati), akizungumza na....... Waziri wa Maji, Gerson Lwenge wakielekea kukagua mitambo ya kusafisha na kusafirisha maji Wami, katika Halmashauri ya Mji wa Chalinze, mkoani Pwani, Desemba 30, 2015.

Rais Jakaya Kikwete na Lwenge wakiangalia mitambo ya kusafisha maji
 
Wakiwa katika picha ya pamoja
 
Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete , akizungumza na Waziri wa Maji, Gerson Lwenge (kushoto kwake) wakielekea kukagua mitambo ya kusafisha na kusafirisha maji Wami, katika Halmashauri ya Mji wa Chalinze, mkoani Pwani jana.Wa pili kulia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete.
 
Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akionesha kitu walipotembelea mitambo ya maji Wami
 
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akizungumza na Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Gerson Lwenge katika mitambo hiyo.

No comments:

Post a Comment