TTCL

EQUITY

Wednesday, October 9, 2013

DIAMOND NA WEMA SEPETU WAZUSHA MAPYA NCHINI MALAYSIA

 
Baada ya habari kuenea kuwa Diamond PLatnumz amerudiana na Wema walipokuwa Malaysia katika moja ya show zake na Platnumz kukanusha habari hiyo kupitia website yake, hatimaye BK imepata picha nyingi za Diamond na C.E.O wa Endless Fame Wema Sepetu wakiwa kwenye pozi tofauti tofauti za kimahaba nchini humo.



Baadhi ya picha hizo, moja inawaonesha Diamond na Wema wakiwa wamevaa Mapajama (nguo za kulalia) sehemu kama hotelini hivi na nyingine ikimuonesha Diamond akim-kiss Wema wakiwa kitaa. Lakini Diamond ni real boyfriend wa Penny…

Nimepata shida kidogo kuamini hii habari na picha coz nimeitoa kwenye blog ingine ikanibidi nichimbe kidogo ili nione kama ni kweli manake nilihisi hizo picha ni za zamani wakiwa na wema....nimetafuta picha ingine ya diamond ambayo alipiga juzi juzi wakati haya maneno yakiongelewa na kuziowanisha ..na nimegundua mtindo wa nywele ni ule ule kwa picha zote ona hii picha chini alafu fananisha na picha za juu




Picha Diamond akiwa na Penny baada ya kutoka Malaysia....

No comments:

Post a Comment