Mwanamke mmoja
ambaye ni nyota wa soka nchini Iran amefanikiwa kushiriki katika mchuano
mmoja ughaibuni baada ya jaji kuzuia juhudi za mumewe za kumtaka
kutosafiri.
Mwanamke aliyeolewa nchini Iran anahitaji ruhusa ya mumewe kuondoka nchini humo.
Niloufar
Ardalam aligonga vichwa vya habari wakati mumewe alipomzuia kutosafiri
ili kushiriki katika mashindano nchini Malaysia mnamo mwezi Septemba.
Lakini
Ardalan ambaye ni nahodha wa kikosi cha taifa hilo amesema kuwa
alifanikiwa kupata agizo la jaji kusafiri,na amefanikiwa kushiriki
katika mchuano unaoendelea nchini Guatemala.
No comments:
Post a Comment