Binti mmoja mkoani Arusha adaiwa kuingiziwa chupa ya soda sehemu za siri kwa kile kilichodaiwa (Umbea) kuwateta wenzake kwamba ni malaya. bado tunaendelea kufuatilia tukio hili, na tutakufahamisha kadiri ya taarifa zitakavyotufikia.
picha ikimuonyesha binti aliyejitambulisha kwa jina la Bi.ngowi ambaye hakupenda sura yake iwekwe kwenye mtandao huu.
No comments:
Post a Comment