TTCL

EQUITY

Wednesday, March 18, 2015

SPIKA ANNE MAKINDA; SIWEZI MFUKUZA ZITTO KABWE BUNGENI

Spika wa Bunge Ana Makinda
Spika wa Bunge, Anne Makinda, amesema hawezi kumtangaza Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kuwa siyo mbunge hadi atakapopata barua kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), ameongeza kuwa hawezi kufanyia kazi taarifa za kwenye vyombo vya habari, badala yake anasubiri taarifa za kiofisi kutoka NEC. Kwa upande wao CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa amesema bado hawajaandika barua kuiarifu Nec, kwa kuwa hilo siyo jambo kubwa ambalo chama kinapaswa kuhangaika nalo kwa sasa.

No comments:

Post a Comment