TTCL

EQUITY

Friday, October 3, 2014

WAJUMBE WANAWAKE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA WAMPA SITTA ZAWADI YA USHINDI BAADA YA KUINGIZA MAMBO YAO KATIKA RASIMU INAYOPENDEKEZWA


Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakimshangilia Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta mara walipokutana nae nje mara baada ya kumaliza mkutano wao kuhusu maandiko ya kisera na manufaa waliyopata wanawake katika Rasimu ya mwisho ya Katiba inayopendekezwa uliofanyika mjini Dodoma leo 3 Septemba, 2014.

No comments:

Post a Comment