TTCL

EQUITY

Friday, October 3, 2014

HII NI DALILI YA WAZI KWAMBA HIKI KINACHOENDELEA NI KAMPENI ZA MITANDAONI.

Nyota njema uonekana asubuhi hivyo ni dhahiri kwamba Mwigulu Nchemba kaimu Waziri wa fedha atakuwa Rais mwenye Ufanisi Mkubwa 2015 kwa kuwa ameweza kujipambanua na kujitofautisha kwa Vitendo kama kiongozi na si mtawala.
Mwigulu ana sifa za ki uongozi kwa kuwa amedhamiria kwa vitendo kuonesha njia pia ni kiongozi mwenye maarifa na juhudi kuu.
Ni kiongozi mwenye maono (Visionary) makubwa na taifa letu la Tanzania wanasema Vision is what enables leaders to see the possible future further and more clearly than others also Mwigulu has a discipline of mind and will as it has been proved kupitia mchango wake aliotoa kwenye Bunge Maalum la Katiba-BMK pale alipo watahadhaharisha wajumbe wa BMK na mwenyekiti,
Mh Mwigulu alitoa tahadhari kuwa haina haja kuendelea na Bunge Kama akidi ya Maamuzi haitatimia! Na hii ni Tabia ya muhimu kwa kiongozi mwenye maono kuchukua tahadhari! Mh Mwigulu alisema siku za bunge zisiongezwe liishie tarehe 4 badala ya Tarehe 28. Ameokoa bilioni 10!
Na haya alishauri muda upunguze mpaka tar 4 badala ya tar28 mwezi wa 10 lakini walikataa lakini siku Rais alipo onana na TCD akawaambia muda ni tar 4 kama alivyoshauri Mwigulu na alisema watumie na siku ya jumamosi katika kufanya kazi ndio maana muda ukapungua but wajumbe walitaka kukaa na kula posho mpaka tar 28 October
Lakini pia zaidi bilion 85 zilizosalia badala ya wabunge kutaka kugawana kama walivyo dhamiria lakini yeye alishauri na kuamua pesa hizo ziende kwa wanafunzi wa elimu ya juu waliokosa mikopo.
Hakika Mwigulu ni aina ya Rais anayehitajika kutupeleka kwenye uchumi wa kati
Mabadiliko ni Vitendo

No comments:

Post a Comment