TTCL

EQUITY

Monday, March 16, 2015

HIZI NI KATI YA BARA BARA ZILIZO KAA VIBAYA ZAIDI KWA MADEREVA

Pamoja na wmbi kubwa la ajari za barabarani kwa tanzania kichocheo kuwa ni mwendo kasi na uzembe wa madereva, Hebu jiulize kama barabara  za aina hii zikiwa nyingi tena katika ardhi hii ya tanzania hali itakuwaje? ona mwenyewe baadhi ya barabara hizo zilizopo kwenye maeneo tofauti hapa duniani!!




No comments:

Post a Comment