TTCL

EQUITY

Thursday, October 2, 2014

NAMNA YA UATNAGAZAJI


Utangazji kwenye TV

Salim Kikeke, mtangazaji wa Dira ya Dunia ya BBC Swahili anakushauri namna ya kuwa makini wakati wa utangazaji.

Salim Kikeke anaeleza mambo gani ya kuzingatia anapokuwa mbele ya kamera, vipi anasoma maandishi katika autocue na autocue yenyewe inapozimika ghafla anafanyaje.
Uhodari ni kuweza kutangaza, kwa lugha nyepesi, huku wapewa maelekezo sikioni.

No comments:

Post a Comment