Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa na Martin Kadinda. |
MTOTO mzuri
Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefafanua ukaribu wake na
Martin Kadinda kwa kudai ni rafiki yake wa karibu na hakuna cha ziada.
Akipiga
stori na paparazi wetu, Lulu alisema yeye na Kadinda ni marafiki wa
kweli na amekuwa akiinjoi maisha yao kwa kushauriana masuala mbalimbali
ya kimaisha tofauti na wengine wanavyojiongeza.
Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
No comments:
Post a Comment