Repoti kutoka INSTAGRAM, Copyed from Nagris Mohammed, jana kundi la @orijinokomedi
lilikabidhiwa nyumba zao walizonunua kutoka nssf zikiwa ziko tayari kwa
kuamia kabisa. Nyumba ni 7 includes masanja,seki,joti,mpoki,wakuvanga,
mac regan na vengu. Kama kawa ziko full insured na crdb microfinance
bank nikasimama pale kati basi apo ata moto utokeee wako miguu juu bima
inalipa. Pongezi sana kwenu @sekionidavids @jotimdebwedo (my bae) @mpoki tulikuwakilisha @mkandamizaji mzee wa machapii aisee tutaiga mfano wenu.
No comments:
Post a Comment