Madai
ya Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Geita, Vicky Paschal Kamata
kuwatumia meseji za kashfa wabunge wenzake, Lucy Thomas Mayenga (CCM) na
Catherine Valentine Magige (UVCCM)Mkoa wa Arusha sasa mambo hadharani.
Kwa
mujibu wa chanzo chetu, wabunge hao warembo wako katika vita baridi
ikiendeshwa chini kwa chini kwa Cathy (pichani) na Lucy kudai kwamba
wamekuwa wakitumiwa meseji zenye kejeli na kashfa nzito kutoka kwa
mheshimiwa Vicky.
KUNA SABABU?
Kwa mujibu wa chanzo chetu, licha ya sababu kutokuwa wazi sana, lakini madai ni kwamba wana bifu linalokimbilia mwezi wa nne sasa.
“Unajua si rahisi wao kuweka wazi bifu lao, lakini wenyewe watakuwa wanajua nini kiini, ukifuatilia utagundua kuwa maisha yao yamekuwa ni ya vikundivikundi, akina Lucy wana kundi lao na Vicky ana la kwake,” kilisema chanzo hicho.

KWA NINI VICKY?
Chanzo kiliendelea kuanika kwamba, baada ya meseji zinazodaiwa kukosa staha kutumwa na asiyejulikana kwenda kwenye simu za mkononi za Cathy na Lucy, waheshimiwa hao hawakupembua sana mchele, moja kwa moja wanadaiwa kumtaja hasimu wao kwenye vyombo vya dola kuwa huenda anahusika na ‘utundu’ huo.

POLISI WAFUATILIA MINARA YA SIMU
Duru za kipolisi zinadai kuwa kufuatia waheshimiwa hao kumlalamikia Vicky, wana usalama hao walianza kuchunguza mawasiliano yake ambapo walibaini mambo makuu mawili.

KWANZA, baadhi
ya meseji hizo zilionesha kutumwa kwa kupitia mnara wa simu uliopo
maeneo ya bunge. PILI, kuna meseji iliwezeshwa kusafiri kwa nguvu ya
mnara uliopo eneo linaloitwa Uwanja wa Ndege ambapo inadaiwa Mheshimiwa
Vicky ndiko anakoishi.
SERIAL NUMBER
Pia yapo madai kwamba, polisi hao walikwenda kitaalam zaidi na kubaini kwa kutumika namba zilizomo ndani ya simu eneo la kuwekea betri (serial number) ambazo zilionesha kuwa, laini iliyokuwa ikituma meseji za kuudhi kwa waheshimiwa hao pia imekuwa ikutumia na laini ambayo polisi walimjua mhusika, ingawa wasemaji wake wamesita kuthibitisha.

POLISI NYUMBANI KWA VICKY
Habari zaidi zinadai kuwa, Jumanne iliyopita, polisi mkoani Dodoma walifika nyumbani kwa mheshimiwa Vicky na kufanya uchunguzi kama wanaweza kupata simu yenye laini iliyoripotiwa na akina Mayenga (pichani) kwamba imekuwa ikiwakashifu kwa meseji lakini hawakufanikiwa kukuta chochote.

Alipotafutwa
Vicky ili kujua undani wa meseji hiyo juzi, simu yake haikuwa hewani.
Kwa upande wake Lucy ambaye alidai kutumiwa meseji za matusi katika
gazeti moja (siyo la Global), naye simu yake iliita bila majibu, huku
Cathy akishindwa kupatikana na kulifanya gazeti hili kuzidi kuchimba kwa
kina sakata hili ili kupata mbivu na mbichi na kuzianika bila
kusitasita.
No comments:
Post a Comment