Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na katibu mkuu wa CHADEMA, Dkt.
Wilbroad Slaa. Wakati wa mkutano kati ya rais ambaye ni mwenyekiti wa
CCM, na wajumbe kutoka kituo cha vyama vya siasa TCD ambao wanajumuisha
pia wajumbe wa vuguvugu la umoja wa katiba ya wananchi maarufu kama
UKAWA, Ikulu ndogo mjini Dodoma Jumapili Agosti 31, 2013, ili kutafuta
suluhu ya mgomo wa wajumbe wa UKAWA kushiriki vikao vya bunge maalum la
katiba vinavyoendelea mjini Dodoma. Wajumbe wa UKAWA, wnatofautiana na
wenzao wa CCM, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kubadilishwa kw arasimu
halisi ya tume ya mabadiliko ya katiba, ya Jaji Joseph Warioba ambayo
katika sehemu muhimu ya mabadiliko ya katiba hiyo, ilipendekeza muundo
wa serikali tatu badala ya mbili za sasa, wakati wenzao wa CCM wanataka
muundo huu wa serikali mbili uendelee
JK akisalimiana na Mwenyekitiw a CUF, Prof. Ibrahim Lipumba
JK akisalimiana na katibu mkuu wa NCCR-Mageuzi, Mosena Nyambabe
JK akisalimina na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia
Rais Jakaya Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa TCD,
mara baada ya mazungumzo yao Ikulu ndogo mjini Dodoma, Jumapili Agosti
31,2014
Wajumbe wa TCD wakiwasili Ikulu ndogo mjini Dodoma
Wajumbe wa TCD wakiwasili Ikulu ndogo mjini Dodoma ili kukutana na rais Jakaya Kikwete
JK akisalimiana na Mwenyekiti wa TLP, Skt. Augustin Mrema
JK akisalimiana na Dkt. Wilbroad Slaa
Rais Jakaya Kikwete, akiongoza kikao hicho na TCD
Rais Jakaya Kikwete, akiongoza kikao hicho na TCD
Rais Jakaya Kikwete, akiongoza kikao hicho na TCD
Rais akisalimiana na Makamu mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula
No comments:
Post a Comment