TTCL

EQUITY

Tuesday, March 1, 2016

Mbunge wa Kilombero Peter Lijualikali akamatwa

Mbunge wa Kilombero Peter Lijualikali (CHADEMA) amekamatwa na polisi wakati akitaka kushiriki uchaguzi wa mwenyekiti wa Halmashauri hiyo leo.
Uchaguzi Kilombero wafanyika na chama cha CCM wamechukua uenyekiti, CHADEMA makamu Mwenyekiti kwa tofauti ya kura moja, Licha ya Mbunge wa Kilombero Peter Lijualikali kushikiliwa na Polisi.
Diwani wa Sanje (CCM), David Ligazo achaguliwa kuwa M/kiti wa Halmashauri ya Kilombero kwa kura 19 dhidi ya Godfrey Lwena CHADEMA kura 18
Baadhi ya wanahabari waelezwa kuzuiwa kuripoti mchakato mzima wa uchaguzi huo. PICHA (MAKTABA)

No comments:

Post a Comment