Leo Watanzania tunapoadhimisha miaka 52 ya uhuru wetu tukumbuke ni kiasi gani wazee wetu walipigania kupata uhuru.
Tukijua ni kiasi gani walitumia nguvu, akili na muda wao kupigania fursa hii tunaweza kuthamini uhuru tulio nao sasa na kuutumia kufanyia mambo mazuri ya kuiendeleza nchi yetu.
Na jambo la muhimu ni kujipatia elimu ili tupate fikra huru, kwani uhuru wa kimwili tu hautoshelezi kutuletea maendeleo.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.

- You and 50 others like this.
- Prince Ben Blaze Elimu ni kila k2,if u plan for a decade plant trees bt if u plan 4 a century teach the children
- Ibrahim Rukia Mapunda sister uko sawa, lkn kwa sababu aliyetangulia tunasema hakosei, hao wale wazee wetu ndo chanzo cha taabu na mataabiko ya leo. Yamepita lkn na wanasema maji yakimwagika hayazoleki.
- Mohamed Issa Nduka Kweli kidoti hilo ndo jambo la msingi. Mungu ibariki tanzania, mungu ibariki afrika, vile vile mungu mbariki jokate kidoti.
No comments:
Post a Comment