TTCL

EQUITY

Sunday, November 9, 2014

Diamond Platnumz Na Zari The Boss Lady, mmmh.... (!??)


 


Baada ya kusafiri kwenye ndege pamoja wakielekea Dar es salaam, Diamond Na Zari The Boss Lady walipanga kukutana wakiwa Dar.
Hizi picha za Diamond na Zari wakiwa maeneo ya hoteli ya Double Tree hapa Dar es salaam. Picha zinaonyesha ukaribu zaidi wa Diamond na Zari, kama marafiki au zaidi.
Mashabiki wa Diamond wameanza kuona mapenzi kati ya hawa wawili kupitia picha hizi na walivyokuwa karibu kwenye ndege.

 

No comments:

Post a Comment